Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2018

Lyrics

Nakuelewa - Maua Sama

...

ooh oyeyeeh

ouh yeih yeih yeih ayaya

hei uyauaah

siwezi ficha jungu lina linakaya

siri yanifukuta vibaya

mi tapa tapa nmelowa ile mbaya

nyaka nyaka moyo umedesire

oooh nikikupa moyo basi usinlize

na kama ukinipa kweli usiniigizie

oouh baki nami kwenye mwanga na giza

usinpimie penzi ukinipa visa

mwenzako nakuelewa

ooh ayeye yah

nakuelewa

ouh yei yei ayaya

mwenzako nakuelewa

hey oyey auuuh

nakuelewa

uyeye oyaah

ukiweza kunifanya nisije jutia ni thamani zaidi ya gari

ukiweza penzi letu kulipalilia utavuna raha darling

darling darling oh nanana

hey baby baby oh nanana

hizo mboni kama umeniita

kidali ulivyo chanika hisia umezifunika umeninogea

ouh nikikupa moyo basi usinlize

na kama ukinipa kwel usiniigizie

ouh baki nami kwenye mwanga na giza yei

usinipimie penzi ukinipa visa

mwenzako nakuelewa

ouh oyeye

nakuelewa

ouh yei yei yei oyeye

mwenzako nakuelewa

hey oyeyeeh nakuelewa

auyeeh oyeyeh

mwenzako nakuelwa

nakuelewa

mwenzako nakuelewa

ouh nikikupa moyo basi usinlize na kama ukinipa kweli usiniigizie

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status