Yega Master Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
YEGA MASTER LYRICS
Ngo ngo ngo!Hi hi hi
Sha sha! Yega master
Vimacho popo kama unajidai
Ta ta! Tikisa rasta
Kulosa baby kulosa mpake na mafuta kama mwamposa
Kulosa baby kulosa mpake na mafuta kama mwamposa
You give me everything you give you me butterflies
And I love that everyday mi ndio hukufunga tie
I'm in a panty you in a boxer kulosa so what if I
A feska fi bangerfy gully creep ai miondokai
So what if I??
Naskia kuna mtu mlangoni na amebisha tangu jioni
Msupa nilipotea mitaani mnashindwa mbona hamnioni
Huwaga nimezoea wakija wenzangu hupiganga honi
Leo nkiskia tu ding Dong jager mkononi
Kwanza karibia na ukiingia pigwa beer
Ukipendezwa angalia macho haikupewa pazia
Everything is nice here mi pekee ndio unaeza fear
Alafu ka ni birthday usiogope kupiga cheers
NGO ngo ngo!Hi hi hi
Sha sha! Jagermister
Vimacho popo kama unajidai
Ta ta! Tikisa rasta
Kulosa baby kulosa mpaka na mafuta kama mwamposa
Kulosa baby kulosa mpake na mafuta kama mwamposa
So what if I?
A feska fi bangerfy gully creep ai miondokai
So what if I??
Mko wapi kwanza tuanze na walioalikwa
Ju Foleni ni refu alafu huku ndani kunapikwa
Chapati chapati ata jirani we huwezi pitwa
Afu kuongezewa shisha na vitu vinashika
Kujeni wote mashoste naomba mtu hapa asikose
Kisha ufike mapema upate nafasi kwa couch
Ukichoka jikokote tukuote popote
Afu itisha mi tajiri na nina hela kama zote
Mpoa wako ako vipi kwa party fyatu !
Na mambo tulisema ni mangapi matatu
Niko na wangu huku kwangu Tuko kwa chumba changu
Kumbe mpaka pwaguzi ipo siku anapata pwagu
NGO ngo ngo!Hi hi hi
Sha sha! Jagermister
Vimacho popo kama unajidai
Ta ta! Tikisa rasta
Kulosa baby kulosa mpaka na na mafuta kama mwamposa
Kulosa baby kulosa mpake na mafuta kama mwamposa
You give me everything you give you me butterflies
And I love that everyday mi ndio hukufunga tie
I'm in a panty you in a boxer kulosa so what if I
A feska fi .