Dea Moda (Freestyle) Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2021
Lyrics
Dea Moda (Freestyle) - Ssaru
...
eey..yea
.ssaru............... first time ulinichekingi kwa mbulu najua ulishtuka hadi ukapiga nduru,uko surprised ati ssaru ndio huyu wakati ulinicheka ju nikona katululu,unajifanya umekuja kwangu kuzuru na si tunakujua Buda jo we ni punguru ,una head unajifanya we ni guru na mi nikikucheki nakuona ka kalulu,bum ka kalulu mi naroll na Uhuru,ukiwa kwa ngori bado mi nakunusuru,mashallah naogopa kukufuru huyu ni mungu bado ananiweka tu kwa nuru,amtuako huru sanpate buru watakucheka ju uko class ya gumbaru,amtuako huru sanpate buru watakucheka ju uko class ya gumbaru,ka we ni rapa jo Buda ka rada ju ka Niko around mi ndo huwanga commander,Niko hapa nimekuja kumada na venye mi natema nakuonanga mtamba,rende ni less haipiti mtu saba ka nikuadisia adisia tu wamatha, hao wengine ni watato wachanga wanalalanga sana paka wanavunja kitanda,ka Niko le nakujanga kama mwanga,hi nikali utachase tu na waba nipate baze nikuseti tu mawada,mi nimless na napendanga ey..ey..iu..bum hii ni team ya wakanda,hatubagui ju kuna paka wakamba hakuna mtu anamind bro we tamba,ka ni luku daily si hudunga pamba,hizo meeting wananita Dea Moda nilikumbuka staki kurudi moshatha umelegeza na nakuja kuwakaza staki nithiz stori zishafika tanga..(Moda)..hahaaa ....wewe mnafik na unajifanya rafik saenye nakuitaji unadai umekwama kwa traffic wanafaa kutens ju nimegundua taktics staki hizo mapenzi zenyu fake Niko love six skiza baby boos skupi penzi la udu,mi Sha legeza njo unibebe juju na staki nobody baby me I want you,we ndu huwa unafanya roho inadunda du du (aaa) tuma fare Sina ganji.........................................