Loading...

Download
  • Genre:Gengetone
  • Year of Release:2020

Lyrics

CHEKI - Ssaru

...

sssaru

cheki na, cheki na,

cheki na ,cheki na ,

cheki na

cheki venye me natafuta ganji

cheki venye naogopanga bangi

cheki mungu ananipakanga rangi

swaga ni lit na taste ya manji

cheki na cheki na

cheki na roll na chali mhandi

cheki na rogo utathani ni kali

cheki na zoza ssaru ni mkali

cheki na ,cheki na

cheki na dunda na dunda napaa

cheki mabunda mabunda hapa

cheki naringa naringa hapa

cheki na, cheki na

cheki na dunda na dunda na paa

cheki mabunda mabunda hapa

cheki naringa naringa hapa

ona naseti na meditaty

pesa ni mingi ziko kwa kibeti

hizo ndo hufanya mnahaty

nyi mumesimama me nimeketi

nyi ni machura ssaru ni keki

ukinipa kura me ndakuseti

ka niforeal sitaki ufaky

Niko na beef cheki na maky

cheki na ,cheki na

cheki na roll na kina biketi

niko doh na me sina VAT

niko ball nilitoa imenty

Niko na goal za Ku buy jeti

nilibuy keja silipangi renty

we ni wa kando me ndo main chick

naekwa box na kuku za kenchic

we ni kazuri me niko hectic

me Niko fully na hizo test kit

hii ni kaburi na hii ni dead beat

me naimada natupa kwa septic

cheki venye me nakulanga healthy

me niko foreal sijai faky

life ngumu na yangu ni fancy

kwenu ni sumu na kwangu ni healthy

cheki venye me natafuta ganji

cheki venye me naogopanga bangi

cheki mungu ananipakanga rangi

swaga ni lit na taste ya manji

cheki na,cheki na

cheki na roll na chali mhandy

cheki na rogo utathani ni kali

cheki na zozo ssaru ni mkali

cheki na cheki na

cheki nadunda nadunda na paa

cheki mabunda mabunda hapa

cheki naringa naringa hapa

cheki na ,cheki na

cheki nadunda nadunda na paa

cheki mabunda mabunda hapa

cheki naringa naringa hapa

Nita retire msipo ni hire

me nacheki mna gwaya gwaya

mta require tu kunicheza

juu me najua hii ngoma ni fire

siyo kinaya juu me natesa

pass nizile mbaya mbaya

verse zingine fire fire

kaeni rada juu ni kubaya

we promoter usinilipe vibaya

me ni ssaru wa manyaru kabaya

ndapiga show zifike mbaka ulaya

utabaki hapo juu ya roho mbaya

we uko chini me niko higher

haya kafiri huoni haya

lier huaminiki we lier

me nimejam juu inaniuma mbaya

nyi msipo sema ndasema na ubaya

natonga stress na ngoma za kaya

nitaleta ingine moja joh ya kwaya

juu me ni ngori me ni waya

me si bosori me usiniite shori

venye nacheki mnatakanga story

nimetoka jiji ndo nihepe ngori

nyi mko tao niko kwa kori

cheki venye me natafuta ganji

cheki venye naogopanga bangi

cheki mungu ananipakanga rangi

swaga ni lit na taste ya manji

cheki na ,cheki na

cheki na roll na chali mhandy

cheki na rogo utathani ni kali

cheki na zozo ssaru ni mkali

cheki na cheki na

cheki nadunda nadunda napaa

cheki mabunda mabunda hapa

cheki naringa naringa hapa

cheki na cheki na

cheki nadunda nadunda napaa

cheki mabunda mabunda hapa

cheki naringa naringa hapa

me ndo ssaru na nimejaa mori

roho ni ngumu we cheki kwa mboni

kwa rodi sipigangi hony

me nakuona ni we unioni

hawa marapper wote nawashinia

ka ni lesson ndakufunza we come here

sipiganangi nangos juu me ndakuvamia

ata usipo open buda me nita ingia

tangia zamani me nakuvunja

time ya maganji ndo hii ime come

fahm ya warazi ndo hii imecome

ke rada ni chafu so we buda fagia

ndo nimefika na napiga kambi

kwa matajiri tu wenye kitambi

hapa sitoki bila hizo ganji

hapa sitoki bila hizo ganji

cheki venye me natafuta ganji

cheki venye naogopanga bangi

cheki mungu ananipakanga rangi

swaga ni lit na taste ya manji

cheki na cheki na

cheki na roll na chali mhandy

cheki na rogo utathani ni kali

cheki na zozo ssaru ni mkali

cheki na cheki na

cheki nadunda nadunda paa

cheki mabunda mabunda hapa

cheki naringa naringa hapa

cheki na cheki na

cheki nadunda nadunda paa

cheki mabunda mabunda hapa

cheki naringa naringa hapa

(cheki nadunda nadunda paa)

(cheki naringa naringa hapa)

(cheki na cheki na )

(cheki nadunda nadunda paa)

(cheki naringa naringa hapa)

(lyrics by Ascar nduku)

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status