Rhumba Ya Ssaru ft. Charisma (KE) Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2021
Lyrics
Rhumba Ya Ssaru ft, Charisma - Ssaru
...
Eh eh rhumba ya ssaru (ssaru)
no no nooo
oana wa just o hambi nge nyangeotilee
na kama uko mbali nami naomba uniitee
ngasitanga umuno wangasitanga nawee
sheri baby twende nawee ndakuiyanza baby
eeh eeh eh niwanje
Hello baby shika simu kuna news fulani
najua kwamba huna habari ya kwaza fahamu nakuja nyumbani
dooh nimeland wallai nakam ni serious sio utani
naskia kuna jam but baby relax ebu anza kuchoma ubani
inaletanga harufu fulani
inafanya mi nakutamani
ii penzi nafeel kwa ndani
ikifika n mechi ugani
aah yaani honey distress mboga n majani
nikuite honey kwani
nimebeba madodo ya chwani
we n ruhusu si nusunusu baby nakuja nikupe mabusu
mi huwa natembea na silaha butu
wacha waseme ndo mi nisubutu
mi nikipenda napenda kwa dhati (so you man)
{kama n uchawi nakubali basi (aah baby)
alafu kukuwacha nasema sitaki
(mi nawe mpaka milele eh eh eh) }×2
aah baby
nimewasili
kesi navuruga nafanya bila wakili
yaani sistiri huku mjini mapenzi yanihitaji akili
mi siamini yule ukidhani ako sawa n ndume kuwili
na nipo makini huku madogo wa kijiji ndo wako mjini
apa nilipo mi nmefika na nikasettle
we use kijiko mi nikoroge juu na go mental
nikikukwaza roho ikuume iwe kesi ya dental
na mi huwa simind baby ukitaka tushike karental
so leo ukikosa ujue mi sikutoki nagoja ya kesho
ii rhumba ya ssaru ikija madem tufunge maleso
mi nikipenda napenda kwa dhati
(so you man)
{(kama ni uchawi nakubali basi (aah baby)
alafu kukuwacha nasema sitaki)} ×2