USIFIWE ft. Benachi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
USIFIWE ft. Benachi - Size 8 Reborn Official
...
lyric sync by Phellow 254790511905
Mwanake Benachi na Size 8
Teddy B
Usifiwe Oh Yahwe
utukuzwe Oh Yahwe
baraka tele
ona baraka tele
ulinifia ah pale Kalivari
ukafufuka (oh oh oh oh)ukashinda dhambi
Kiukweli ningekuwa wapi
kama haungekuwa nami
umefanya mambo ambayo sikutarajia
hey
mi ni nani kama hauko nami
umetimiza yale ulinipangia
oh usifiwe oh Yahwe
usifiwe oh Yahwe
utukuzwe oh Yahwe
baraka tele
ona
baraka tele
tutaimba imba
tutacheza cheza
tutasifu sifu jina lako Baba wee
tutache-che-chezea Chezea Bwana
tutai-i-imbia imbia Bwana
hapa na pale ni Yahwe
kule na kule ni Yahwe
mbele na nyuma ni Yahwe
oh oh oh oh ni Yahwe
hapa na pale ni Yahwe
kule na kule ni Yahwe
mbele na nyuma ni Yahwe
oh oh oh oh ni Yahwe
usifiwe oh Yahwe
utukuzwe oh Yahwe
baraka tele
ona
baraka tele
usifiwe oh Yahwe
utukuzwe oh Yahwe
baraka tele
ona
baraka tele