Size 8 Reborn : Afathali Yesu Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2020
Lyrics
Size 8 Reborn : Afathali Yesu - Size 8 Reborn Official
...
nimepanda nimeshuka
milima mabonde na mito nimevuka
nimeosa nimesota
nimekosa mpaka mpaka nimekopa
nimeamini binadamu ole wangu roho wakanivunja
niliambiwa nikakana
mimi mwenyewe nimekuja ona
tunachothamini hakitufanyi tufurahi
ohhh najiuliza furaha yangu ni nani
afathali Yesu aaah afathali ye aliye na Yesu× 4
nimesaka saka saka mbali sana nikipata pata bado nataka more×2
makosa yangu na dhambi zangu
matendo yangu yale ninajuta
umechukuwa umeondoa
ulisema hutayakumbuka
tunachothamini hakitufanyi tufurahi
ohh najiuliza furaha yangu ni nani..
afathali Yesu aaah afathali ye aliye na Yesu ×4