NIONYESHE NJIA : Size 8 reborn ft. Iyanii Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
NIONYESHE NJIA : Size 8 reborn ft. Iyanii - Size 8 Reborn Official
...
Ulinifia kwa msalaba thambi Sina wanijaza na furaha baba nikiona nimba we unasikiaah shida zangu naunapitiaah njau a zangu nionyeshe njia nisije potea kama adamu na Hawa walivyopotea baba nionyeshe njiaah niweze kuomva kama Paulo na Sila nakutazamia baba nionyeshe njia ninapopotea nionyeshe njia nisije poteaah nionyeshe njia ninapopotea aah! nionyeshe njiaah nisije potea aaah!sisi binadamu tutapanda tutashuka tusipofahamu njia yetu ni bwana Yesu sisi binadamu tutatfuta tutachoka tusipofahamu wewe ndie mwanga sisi njia yetu ni wewe baba wewe ndieeh mwanga ya ninapopotea aah nionyeshe njia nisijepotea aah nionyeshe njia ninapopotea nionyeshe njia nisijepoteaaah!napotembea kwenye giza nionyeshe na maadui wangu wakiniwinda nionyeshe napotembea kwenye gizaah na maadui wangu wakiniwinda nionyeshe njia ninapopotea nionyeshe nisijepotea nionyeshe njia ninapopotea nionyeshe njia nisije potea aaah!