Songa : Size 8 Reborn ft. Dj Mo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Songa : Size 8 Reborn ft. Dj Mo - Size 8 Reborn Official
...
aah aah aah
(Jacky B)
nipe miaka hamso nitakuwa bazu
rada chafu umenikwachu
when I saw you I felt you
kila wakati kila nyakati
utakuwa mbavu
uniongeza maringo
unaniongeza maringo
uniongeza maringo
unaniongeza maringo
lakini kijana unajua ni nani unapigia
hii si namba ya mathare kijana unapigia
Yesu wangu tumekuona kwa mapigo eeh ×2
bado tunasonga songa songa penzi linanoga noga noga×4
God bless you umenipa photocopy
my number one girl unajua sikuchochi
asante kwa maombi na machozi
liwe liwalo baby sikutoki
saa zingine nakupeanga mapressure
lakini bado unanishow unanitreasure
yaani God umenipea mpaka pastor
kwangu mapepo zinajua ni disaster
Yesu wangu tumekuona kwa mapigo eeh×2
bado tunasonga songa songa penzi linanoga noga noga×4
ni ukweli tumeona mkono wa Bwana×4
bado tunasonga songa songa penzi linanoga noga noga ×4