Mi Nawe Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
MI NAWE Lyrics
VERSE 1:
Mmmh!
Aah mon bebeeeh!
Aah mon bebeeeh!
Nimetosheka nimeridhika na weeeh!
Aah mon bebeeeh!
I'm already eh!
I'm already
Umeniteka umenishika I swear
Aah mon bebe
Ni kama nimeona mbalamwezi mchana
Nikikutazamaaah!
maana mzuri sana tena
Tena twaendanaaah!
BRIDGE:
Washa nifata
Mi Nikawakata,
Washakufata,
We ukawakata
CHORUS:
Mmmh!
Milele mi na weeeh!
Mi naaaah!
Milele mi na weeeh!
Mi na weeeh!
Forever mi na we
Mi naaaah!
Milele mi na weeeh!
Mi na weeeh!
KOMPAAAAH!
VERSE 2:
Macho yako baby
mwengine yasimshuhudie
Deka ni kuone
Na roho yangu itulie
Because You
You so special
Special tuijenge Kesho
Kesho yenye vicheko
cheko furaha madeko.
Ni kama nimeona mbalamwezi mchana
Nikikutazamaaah!
maana mzuri sana tena
Tena twaendanaaah!
BRIDGE:
Washa nifata
Mi Nikawakata,
Washakufata,
We ukawakata
CHORUS:
Mmmh!
Milele mi na weeeh!
Mi naaaah!
Milele mi na weeeh!
Mi na weeeh!
Forever mi na we
Mi naaaah!
Milele mi na weeeh!
Mi na weeeh!
KOMPAAAAH!
THE END
(c)2023 Mocco Genius.All rights reserved.