Yamenishika Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Yamenishika - Mocco Genius
...
Aaaah hayaa yamenishika
Aaaaah haya
Ni kama sina macho sina roho
For real bby take my soul
Nishadata na wewe wewee
Mapenzi yamenikaba kwa koo
I swear baby am in lovee
Usingizi mwanana ni wewe
Basi nipende mwenyewee
Baby natamani nifungue moyo uonee ilivyo ndanii eeeh
Kama ni thamani mfano wako ufanane na kitu gani mhhh
Because i love you
Baby i love you too much too much
I know you love me too much too much
Aaah haya yamenishika
Aaah hayaa yamenishika
Kama jenereta moyo wangu unandunda unanitweta
Mwenzako naogopa aah naogopa aah
Mi naseleleka yani kwenye tope naseleleka
Jamvi na mkeka kwako nimewekaa
Baby natamani nifungue moyo uonee ilivyo ndanii eeeh
Kama ni thamani mfano wako ufanane na kitu gani mhhh
Because i love you
Baby i love you too much too much
I know you love me too much too much
Aaah haya yamenishika
Aaah hayaa yamenishika
Yamenishika mahabaa