Niheme Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Niheme - Mocco Genius
...
Checheme natembelea chokii
Mapenzi yamenikataa
Nabembeleza sichoki
Na bado ananikana
Nimekua tahira tahira
Naongea na kivuli changu
Yamezidi madhira madhira
Napambana na hali yangu
Nazeeka sasa kabla ya siku zangu
Penzi lipo nusu jaba linavuja upande wang
Nateseka dada iponye hii hali yangu
Napambana nijaze kibaba nijikune mgongo wangu
Mmh
Ungenipa nafasi ooh niheme
Nihemee
Kuyaficha siwezi bora niseme
Umenipa nafasi ooh niheme
Kuyaficha siwezi bora niseme
Aanh nilichoshwa na kaniki
Hali yangu ya dhiki
Kwa kiganja sitoshi sijahii
Hakutosheka na hiki
Akawa bado anacheat
Mi simtoshi simfit sifaii
Sura inazidi kuchoka ata ukinitazama
Vyakuinuka nasota nafanya vyakuchutama
Chozi lanitiririka nawaza nawaza
Haya mapenzii haya mapenzi yananikwaza
Nazeeka sasa kabla ya siku zangu
Penzi lipo nusu jaba linavuja upande wangu
Nateseka dada iponye hii hali yangu
Napambana kujaza kibaba nijikune mgongo wangu
Ungenipa nafasi ooh Niheme
Niheme
Kuyaficha siwezi bora niseme
Ungenipa nafasi ooh Niheme
Kuyaficha siwezi bora niseme
Haya maumivu jamani huyasikie kwa jirani
Haya maumivu jama uyasikie kwa jirani
Inaumaa inachoma
Yanaumaa yanachoma