Sisi ft. Joozey & S2Kizzy Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2023
Lyrics
Sisi ft. Joozey & S2Kizzy - Rayvanny
...
Kuna raha kulewa mbele ya maadui zako×2
raha kulewa mbele ya maex zak×2
iyeeeee
chui vanny boy
s2kizzy baby
ivi una akili wewe
zinachaji kweli
yani upo na bebe ina minyama tukuachie mwenyewe
ivi una akili wewe
zinachaji kweli
yani upo na danga lina mihela tukuachie mwenyewe
eeeeeh×2
kuna raha kulewa mbele ya maadui zako×2
raha kulewa mbele ya maex zako×2
shuti kila kitu hatuoni
tunavokula bata liwachome
sisi sio levo zao watukome
bado wananuka maziwa watoto wakanyonye
sisi hao
eee sisi hao
sisi hao sio wengine sisi hao
sisi hao sio wengine ni sisi hao
iyeeeee
eeeeeeh×2
kuna raha kulewa mbele ya maadui zako×2
raha kulewa mbele ya maex zako×2
shuti kila kitu hatuoni
tunavokula bata liwachome
sisi sio levo zao watukome
bado wananuka maziwa watoto wakanyonye
sisi hao
eee sisi hao
sisi hao sio wengine sisi hao
sisi hao sio wengine ni sisi hao