Mwambieni ft. Macvoice Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Mwambieni - Rayvanny
...
Mwambieni Nampenda
Bila yeye mi siwezi
mwambieni nampenda
Bila yeye mi siwezi
Ati simtaji jina (Anajijua)
Fundi wa Raha zangu (Anajijua)
Kiboko yangu
Sio mpaka niseme
Yule nina mpenda sana (Anajijua)
Roho yangu (Anajijua)
Mwenye moyo wangu (Anajijua)
Sio mpaka niseme
Kwanza tuanze rangi yake
Ah! jamani ipo mwake
Natamani nione kopo lake
Amenunua wapi duka lake
Kisha tuje kwenye umbo lake ah!
Hapo lazima udate
Usije kutokwa mate
Mambo ya uturuki tuyaache
Maana mtoto kanawiri Jaama!
kumuacha uwe jasiri saana!
Nime shindwa kuwa bahiri, Mama!
we nichune hadi kandambili, Sawa
Babe pose geuka freeze
Nipe tabasamu la picha cheese,
you are so mwaaa! you are so cute
Kwako nime wehuka kabisa chizi
mwambieni
Nampenda
Bila yeye
Mi siwezi
mwambieni
Nampenda
Bila yeye
Mi siwezi
Ati simtaji jina (Anajijua)
Fundi wa Raha zangu (Anajijua)
Kiboko yangu (Anajijua)
Sio mpaka niseme
Yule nina mpenda sana (Anajijua)
Roho yangu (Anajijua)
Mwenye moyo wangu (Anajijua)
Sio mpaka niseme
Leo nawatambulisha
Mliokuwa hamjui
Hapa ndo nimefika mwenzenu
Shemeji yenu huyo
Kwake najibebisha
Usiku asubuhi
Tongoza tongoza ama zangu ama zenu
Shemeji yenu huyo
Ye ndo tiba ya mwili, Mama
anituliza akil, Jama
Ma Ex mtasubiri sanaaa
Kumuacha sifikiriii, ooh! oh!
Pose Geuka Freeze
Nipe tabasamu la picha cheese
You are so mwaaaa!!!
You are so cute
Kwako nime wehuka kabisa chizi
mwambieni
Nampenda
Bila yeye
Mi siwezi
mwambieni
Nampenda
Bila yeye
Mi siwezi
Ati simtaji jina (Anajijua)
Fundi wa Raha zangu (Anajijua)
Kiboko yangu
Sio mpaka niseme
Yule nina mpenda sana (Anajijua)
Roho yangu (Anajijua)
Mwenye moyo wangu (Anajijua)
Sio mpaka niseme