My Babe Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
My Babe - Rayvanny
...
Ey jamani
Mbona umenikaa kichwani
Umenipa kitu gani, baby wangu
Hadi natamani
Nikufiche chumbani
Wasikuone visirani, baby wangu
Nililia kwa Mwenyezi, akayaona machozi
Kanipa wewe kipenzi, kipenzi
Nitaimba na tenzi nikutulize lahazizi
Mana kwako am dead, oh am dead
Amenishika! kanikamata!
Mwambieni shemeji yenu apunguze raha
Huba shata shata, nanenepa
Mwambieni shemeji yenu apunguze raha
My sweetie sweetie
Baby ( uh yee)
You're my baby (sweetie sweetie)
baby
you're my baby
My sweetie sweetie
Baby (baby)
You're my baby (na roho yangu)
baby (baby)
you're my baby
aaah
Ulikua rafiki, ukawa mpenzi
Sasa ni rafiki tunaefanya mapenzi
Kwako niko real sio kama napretend, no!
ila ni toka tuna dhiki sasa tuna chenji
Ninakupongeza umevumilia mengi
Chuki hazijengi kugombana sipendi, no!
Baby you teach me how to love,
You teach me how to care
And forever I'll be there, for you
Mtoto unawaka waka, mtoto umetakata kata
Mrembo
Nililia kwa Mwenyezi, akayaona machozi
Kanipa wewe kipenzi, kipenzi
Nitaimba na tenzi nikutulize lahazizi
Mana kwako am dead, oh am dead
Amenishika! kanikamata!
Mwambieni shemeji yenu apunguze raha
Huba shata shata, nanenepa
Mwambieni shemeji yenu apunguze raha
My sweetie sweetie
Baby ( uh yee)
You're my baby (sweetie sweetie)
baby
you're my baby
My sweetie sweetie
Baby (baby)
You're my baby (na roho yangu)
baby (baby)
you're my baby
aaah