Kolela te ft. ECAD Church Lubumbashi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Kolela te ft. ECAD Church Lubumbashi - Christina Shusho
...
Song : KOLELA
Artist : Christina Shusho ft ECAD Lubumbashi Church
Kwa Mungu yote yawezekana x2
Kwanini uteseke na Yesu yupoo
Kwanini urudi nyuma na Yesu yupoo ooh
Kwa Mungu yote yawezekana x2
Usilie weee we x2
Mungu yupoo
Kwa Mungu yote yawezekana x2
Kwanini uteseke na Yesu yupoo
Kwanini urudi nyuma na Yesu yupoo
......................
......................
......................
Kwa Mungu yote yawezekana (Yanawezekaana) oooh x2
Kwanini uteseke(Utesekee) na Yesu yupoo(Na Yesu yupo)
Kwanini urudi nyuma (Urudi nyuma)
Na Yesu yupoo (Na Yesu yupo)
Ebaya nzambe nyoso kukisamakax2
..............................
..............................
Mhhhh heyeeee x2 (heyeeeee×2)
Mbona unalia umekata tamaa Baba
(Unalia weee)
Mbona unalia umevunjika moyo Mama
(Usiliee tena)
Kwa Mungu yote mambo yawezekana
Kwa Mungu yote mambo yote yakoshwari
(Eehh)
Usiliee(Usiliee)
Usilie wee (Usilie wee)
Usiliee(Usiliee wee)
Usilie wee (Usilie wee)
Futa machoziiii
Uuuuhx2
Usiliee(Usiliee)
Writted by Mariki H
Production: HM Studio