Loading...

Download
 • Genre:Pop
 • Year of Release:2009

Lyrics

Hadithi (feat. Mr Mim) - Alikiba

...

Uliambia unanipenda sana nikusaidie, roho yako inadunda ukiniona nikuhurumiee eeh, kwa mambo mengi uliniumiza roho kwa uyaonayo tabia yangu pia ilikuvutia ikawa ndo hivyo ooh

kama dhumuni ilikuwa mapenzi kupenda kwa dhati is not ezzy

kuna wazushi na wandau siku hizi mapenzi ya kweli bila hirizi,

Nami nadhani hukuniamini kwa yangu imani sema na mimi basi x2

Chorus

Hadithi na hadithi ya hadithi leoo (aaaaah)

Hadithi na hadithi ya hadithi tamu ( uongo njoo) x4

Dharau na matusi yote nilivumiliaaaa wakiwemo marafiki wote wakishuhudiaaaa, heshima ya mapenzi pale pale japo hujaridhia ugomvi wetu faida usiwape walihudhuria

kama kupenda ni dhambi mi basi narudi zangu kwa Mola niombe radhi kwani nahisi kama mi ni mkosaji na ningependa kwa mtoto wa kijiji


see lyrics >>

Similar Songs

Listen to Alikiba Hadithi MP3 song. Hadithi song from album Ali K 4Real is released in 2009. The duration of song is 00:03:35. The song is sung by Alikiba.

Related Tags: Hadithi, Hadithi song, Hadithi MP3 song, Hadithi MP3, download Hadithi song, Hadithi song, Ali K 4Real Hadithi song, Hadithi song by Alikiba, Hadithi song download, download Hadithi MP3 song

Comments (11)

0/500

  New Comments11

  SALHA 8nb03

  Aichuji

  Tanzania

  Robert 5wjj6

  If you have zenith Bank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Online cheque deposit .. I have a direct zenith log tools now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank account.. don't give me new account within 5 hours time the job is done +2347036681271

  Nigeria

  BetoPZN

  GOAT

  Tanzania

  marphray

  nyimbo iliyokuwa mfariji wangu[0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641]

  Tanzania

  El Mago57

  [0x1f607]

  Tanzania

  Saul cge81

  king kama king

  Tanzania

  King_of_Everything

  [0x1f627][0x1f630]

  Tanzania

  Said Mwalimbxzke

  hebu ifanyie remix hii nyimbo

  Tanzania

  Beatrice Shayofcpy4

  Here 2021

  Tanzania

  115309050

  i like this song [0x1f618][0x1f618]

  Tanzania

  Babu Madenge

  HADITHI NA HADITHI nyimbo itakayo ishi mpaka kwa vitukuu vyetu nyimbo taaaamu yenye kila kitu ccha muziki kilicho kamilika kuanzia Melody mpaka production [0x1f641][0x1f623]

  Tanzania

  +

    -   or   -

    -   or   -

    NG +234

      Please Select A Playlist

      Add New Playlist

      Share on

      Embed: Love & Light EP

      Custom Size :

      • Default
      • Desktop(300*600)
      • Mobile(300*250)

      Type :

      • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
      Get Boomplay Premium
      for
      Payment Method
      Pay With
       Review and pay
       Order Date
       Payment Method
       Due Today
       Flutterwave
        Subscription Successful

        Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

        Now you have access to all the features of Boomplay App.
        Payment Failed

        Please check your balance and then try again.

        You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
        Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
        Payment Processing...
        10 s

        Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

        Payment Processing
        Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
        About Order Status