Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2022

Lyrics

Haki Yake Mungu (Replay) - Neema Gospel Choir

...

(Wokovuuu)Wokovu wa watu wenye haki(wa haki wa haki)wameona jina la

Yesu(Eeeeh eeh la Yesu la Yesu)tabu zijapowazonga hawayumbishwi(kwa kuwaaa)kwa kuwa Bwana yu pamoja nao(Iiiiih bwana)Bwana hupendezwa na haki(na haki na haki)Yeye ni Mungu wa haki milele(Eee eeh milele milele)wasioenenda kwa haki yake(Eeeeeh Bwana) huwaangamiza kabisa


Verse:Watu wa Mungu tusimamie nafasi zetu tusimamie haki Mungu katuagiza tusiwe chanzo kuipotosha kweli yake hatutaiepuka hukumu yake Mungu X2


Ona yatima hawa wanalala na njaa na wajane hawana pa kukimbilia,matajiri wanajilimbikizia mali wanatafuta pesa kuipotosha hakiii X2


Chorus:Haki yake(haki) haki yake Mungu(haki yakee) ndiyo pekee huinua taifa haki yake haki yake Mungu ndiyo pekee inaleta amani X2


Verse:Hakiiiiii haki yake Mungu ndiyo pekee inaleta amani,hakiiiiiii haki yaaake Mungu ooh ndiyo pekeeeee huinua huinua huinua taifa Kama Mungu alivyosema ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu watajinyenyekesha na kuomba na kunitafuta uso na kuziacha njia zao mbaya basi nitasikia kutoka mbinguni na kuwasamehe dhambi yao na kuiponya nchi yao Haleluya!!!

see lyrics >>

Similar Songs

Listen to Neema Gospel Choir Haki Yake Mungu (Replay) MP3 song. Haki Yake Mungu (Replay) song from album ALTAR IN TANZANIA is released in 2022. The duration of song is 00:06:13. The song is sung by Neema Gospel Choir.

Related Tags: Haki Yake Mungu (Replay), Haki Yake Mungu (Replay) song, Haki Yake Mungu (Replay) MP3 song, Haki Yake Mungu (Replay) MP3, download Haki Yake Mungu (Replay) song, Haki Yake Mungu (Replay) song, ALTAR IN TANZANIA Haki Yake Mungu (Replay) song, Haki Yake Mungu (Replay) song by Neema Gospel Choir, Haki Yake Mungu (Replay) song download, download Haki Yake Mungu (Replay) MP3 song

Comments (0)

0/500

    New Comments0

    What do you think of this song?

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status