Loading...

Unaniweza
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Unaniweza - Jux
...
Jux_-_Unaniweza Lyrics
1 Verse
Pindi ukicheka wee,, mi moyo unanitabasamuu,, huwa mwenye kujiisi mololooo,,, ila ukilia wee,,hata kula nakosa hamu,,huwa mwenye kujiisi dololo,,
****Bridge***
Ukiwa karibu na mie, najiona bora,, lakini ukiwa mbali baby baridi linachomaa,, uwepo wako we na mie,, umetia foraaaa,, we ndo dakitari darling nikitaka kuponaa,,..
***Chorus***
Unaniweza weza X 4
2 Verse
Sitamani mwengine,, wala sidhani ka ataweza kutokea,, mana mambo yako moto, motomoto, labda upite ushetani mwengine,, maneno ya watu nishazoea, i dont care,, kila kukicha chokochoko chokochoko,, unavyo nipa raha,, ndo nanenepa mie,, penzi lako natinga, naringa, nabembea, kinacho kufaa, usisite nambie,, kwako niko radhi,, hata zege nibebe, machinga ninadishe.
see lyrics >>Similar Songs
More from Jux
Listen to Jux Unaniweza MP3 song. Unaniweza song from album Unaniweza is released in 2019. The duration of song is 00:03:52. The song is sung by Jux.
Related Tags: Unaniweza, Unaniweza song, Unaniweza MP3 song, Unaniweza MP3, download Unaniweza song, Unaniweza song, Unaniweza Unaniweza song, Unaniweza song by Jux, Unaniweza song download, download Unaniweza MP3 song
Comments (120)
Top Comments (1)
vokoh masila
New Comments(120)
Robert 5wjj6
Nuri Kiswamba yxhnk
Preetau5ums
jafaryz
Nassra Suleiman3kxc5
ibuni
danronivlen
Mmachinga Wa Kishua
Mmachinga Wa Kishua
Evamery Mbaga
Omar Fungizo
