Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2019

Lyrics

Wakanda - JCB (TZ)

...

J for J.C.B.

C for Chaka Zulu

Goes to all my brothers 'could be last name Thulu

When it comes to the drug shit 'our last name is gurus

Knee deep in the game 'strong kama mbuyu

This get-together took me back to the days

When me and man Evance would hustle for days

Tryna get a pay 'i praise the bread through the maize

If you are lying you stay close to where Zebra's graze, Uh

The streets code, the values we hold, like never snitch, never leave a soldier in a cold

Never flip a coin, just doin' a pawn

We (?) superior logic like A-Town joints

My common sense ain't common to all men

Wanna try talk some sense 'they say he's an old man

But all i see is recyclin of some old plans

So this is (?) i don't need poor plans

Si Wakanda - sababu tuna vunga huu ukanda

Si wajanja - sababu tuna mbinu za mkwanja

Na kiwanja 'wanagonga ngoma zetu za kijanja

Hivyo kwamba 'usitutishe kwa mitungi na pamba

Nakipanda kinanda kama kamanda anampanda kimada

Nawasoma kwenye radar, nawasoma kwenye shada

Waliovamia mada nawakabidhi kwa Chaba 'si tupo kwenye ibada ( He-he-he )

Tunawacheki tu ma Lady gaga 'wakisema "su" siunajuaga vile inakuwanga?

Vita bila mapanga, vifo bila matanga, matendo bila propaganda

Nawarusha tu Wakanda, rusha mpaka Mwanza kwa Kubanda

Mi old school 'niite chakubanga, kama unabisha waulize wadananda

Mi ndio mkali wao kwenye huu ukanda, askari wao wenyewe wanasanda

Nitatamba mpaka siku navishwa sanda

Kamanda wa K-Juu 'nikipanda kwao hakuna unafuu

Wanafuka 'kumbe moshi wa kifuu

Hawana hit hata kwa DJ Azu

Si Wakanda - sababu tuna vunga huu ukanda

Si wajanja - sababu tuna mbinu za

mkwanja

Na kiwanja 'wanagonga ngoma zetu za kijanja

Hivyo kwamba 'usitutishe kwa mitungi na pamba

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status