Story Ya Shorry Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Story Ya Shorry - JCB (TZ)
...
Yes, I
Niko na stori ya shorry 'angekuwa kabachori ninge muonga kachori
Nabonga namaliza soili 'nachonga jinsi nilivyo fall
Kigori 'ana sema "sorry", eti mi siko ka King Cory
Akanikata mori 'kaniuliza ka nna mkwanja King'ori
Huku akiagiza maji, chapati mbili na mtori
Sikia, Rasta pori 'mi nataka gari, mi sitaki stori
Stori kapige ghetto na kina Noreen, Kidori na Doreen
Hapa leta stori za mawe na porini, Lamborghini na migodini
La sihivyo mi sijui unaongea nini
Kwanza unajuwa nini 'mi ndio kisa cha we kupigwa chini na yule manzi wa mtaa wa pili
Ndio maana kila ukiniona una angalia chini
Wewe siunapenda chini, poa tu we komaa 'labda iko siku uta win
Nikitaka kumkacha 'analalamika mbona unaniacha
Kila siku anataka tule bata, good times 'maisha tight
Nikitaka kumkacha 'analalamika mbona unaniacha
Kila siku anataka tule bata, good times 'maisha tight
Anakaa na boda 'mi najikuta Mbauda naunda
Nahesabu kibunda napiga funda la muwa
Nashindwa kuamuwa uamuzi upi unafaa kuchukuwa
Nimemkataa anataka kujiua
Kwenye ukisikia "paah" 'alinikataa kipindi nashinda S.U.A.
Eti mi kichaa kisa namsikiliza akitusua
Senzo tunzo vipi nikitusua? passport na Visa 'ulaya pananijua
Ugweno mpaka Uvinza 'wananiomba nipige Tour 'na Makamua
Ameshakukamua Terry na John hilo pia anajua
Acha (?) pesa zake nilichukuwa, akakusugua kipindi nimefua
Niko Chuga naungua na jua 'sasa nimetua toka mtoni unataka kunichukua
Kama "time" embu chukuwa
Kama ni dua 'la mwewe limekuwa