Juu Chini Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Juu Chini - JCB (TZ)
...
Uh-Huh ( Yeah, yeah )
Das right, das right ( I know, i know, bro )
Check it out y'all ( Yeah, yeah its your boy )
Makala, Salasala ( We ready, we ready - Daz Knowledge )
Uh-Huh
We don't play no games, bro
Kijenge Juu and Salasala 'we in the building
And JCB, i wanna-, i don't wanna play no game bro
I think we ready to get rich
Uh huh uh Huh
It's Salasala music, nigga 'we on wild, rebel and shit, right?
Yo! ( Let's go get it, bro )
Hakuna kupima nikisimama 'mtu mzima
Hakuna kilemba nikisimama 'kalasinga
Hakuna kuremba nikipita 'mtu wa vina
Kama kulenga mi nalenga 'mpaka China
Kama kuvunga mi na vunga 'napiga kimya
Kama kuchinja mi nachinja 'mzima mzima
Ndivyo nilivyo Sinza wananiita (?)
Kila nikikatiza 'kama wanakanyagiza
Viwanja nina Visa 'cheki nnavyo kimbiza
Wanauliza vipi, mbona sipigi (?) nawasha tu vijiti, mama anachimba biti
Unalala na (?) bora ungekuwa maiti
Laiti naji fit kwenye sekta yangu ya rap ( C'mon )
Niko slow lakini niko sharp (?)
Lakini
Mara Oh, JCB hapendi trap, c'mon
Wakikazia chini 'cheki, nakazia juu ( Yeah, yeah ,yeah )
Hii ni stori ya mtaa 'Salasala-Kijenge Juu (Enhe, enhe, enhe, enhe )
Yeah, wakikazia chini 'cheki, nakazia juu ( C 'mon )
Wakikazia chini 'cheki, nakazia juu ( Un huh huh )
Wakikazia chini 'cheki, nakazia juu ( Woo!, yeah )
Wakikazia chini 'cheki, nakazia juu ( Yeah, yeah )
Wakikazia chini 'cheki, nakazia juu
Wakikazia chini 'cheki, nakazia juu
Haters bado wako wengi 'they test me
Mungu bado mwema 'he bless me
Naenda race niko radhi kuuza roho
Una chuki bila sababu 'nini shida, bro?
Nini shida bro, ka una chuki njoo
Matatizo yapo 'you just let me go
Nini shida bro, ka una chuki njoo
Matatizo yapo 'you just let me go
Kama brothermen au sista-doo 'leo Salasala imeungana Kijenge Juu
Kama brothermen, sista-doo 'leo Salasala imeungana Kijenge Juu
Hol up, hol up, hol up, hol up... )
Wakikazia chini 'cheki, nakazia juu ( Yeah, yeah ,yeah )
Hii ni stori ya mtaa 'Salasala-Kijenge Juu (Enhe, enhe, enhe, enhe )
Yeah, wakikazia chini 'cheki, nakazia juu ( C 'mon )
Wakikazia chini 'cheki, mi nakazia juu ( Un huh huh )
Wakikazia chini 'cheki, mi nakazia juu ( Woo!, yeah )
Wakikazia chini 'cheki, mi nakazia juu ( Yeah, yeah )
Wakikazia chini 'cheki, nakazia juu
Wakikazia chini 'cheki, nakazia juu
Yeah, Ha-ha-ha-ha
JCB 'they call me God to the Zizzou
Salasala to A-Town, man
We flexin, Ha-ha-ha-ha-ha
We play no game on this streets, nigga
Yeah
I got love for A-Town
Yo JCB i got love for you and everybody from A-Town
And this is a Salasala music, man 'i just wanna vibe, right?
Its all out, bro
Yeah, enhe-enhe, enhe-enhe, enhe-enhe
I will see you, man
See you until next time, good evening!, have a nice coffee, Shiish!