Jah Man Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Jah Man - JCB (TZ)
...
Intro:
J.C.B.
Watengwa
Verse 1:
Namna gani aisee 'inakuwaje wazee, kama vipi aisee nitembeze
Nnacho fanya eh 'kwao ni balaa aisee
Ndio maana mzee, unadata wee
Mara beh 'unadata reh na mandata je hawana noma mzee
Kila kona eh 'unajichoma je?
Je-je-jeje
Niko booth na spika zinanipendelea
Kama booth kikosi cha kutinga tunaendelea
Kuwapiga ndole kwa pole bila gobore
Nasimama kwenye beat kama Mzee Ole
Nilivyo kirimiti sipendi uni shore, ni mwepesi kusahau, ni mwepesi kusema sorry
Ndio maana sina dharau kwa ma nigga na ma shawty ( Oh yeah )
Wapiga ndole
Chorus:
Jah man, Jah Jah man
Jah man, wewe ni Jah Jah man
Jah man, Jah Jah man
Jah man, wewe ni Jah Jah man
Jah man, Jah Jah man
Jah man, wewe ni Jah Jah man
Jah man, Jah Jah man
Jah man, wewe ni Jah Jah man
Verse 2:
Mi napendelea ( Lea )
Lea 'ongelea hizi hesabu za kumjumlisha 'kwisha
Na sipendi za kutoa, toa
Ukipita mitaa utakuta wamekaa wanavuta (@#*-)
Kuna raha na karaha 'angalia majeraha, yao
Chunga makarao, baba 'jela ni balaa
Huu ni wasaha 'tudondoshe kadhaa zenye swahili fasaha bhana
Utamaduni unasinyaa
Njoo chant na ma bobu, shanti Ibrah
Mishe mishe tujichange vijisenti tu
Lete daftari andika ma sentensi tu, hizi lines ziko siku zitalipa tu
Matatizo mbona yapo tu na kuna watu watakupiga "puuh"
Angalia usidondoshwe na ka sister doo
( Distant echoe )
Uh huh...
Chorus:
Jah man, Jah Jah man
Jah man, wewe ni Jah Jah man
Jah man, Jah Jah man
Jah man, wewe ni Jah Jah man
Jah man, Jah Jah man
Jah man, wewe ni Jah Jah man
Jah man, Jah Jah man
Jah man, wewe ni Jah Jah man
Outro:
Jah man, bado namba one
Jah man, kwani kuna shida gani?
Jah man, mi sina mashine gani
Jah man, mi mtu wa majani
Jah man, basi kumbe mi sio nyani
Jah man, sasa niko na ramani
Jah man, nina bonge la amani 'kama Yesu pale msalabani