Sifa ya Uandishi Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2012
Lyrics
Sifa ya Uandishi - One The Incredible
...
Yoh!
where?
yoo check!!
Siku imefika.. miujiza.. Sina hofu ka kipofu ndani ya usiku wenye giza,
chana kanuni kwa kanuni za kuchana buni Sana napokaa ndo maana ujuzi umesimama,
Bado nipo street na wetu,mistari ishi milele Ka Hadithi za yesu,
Nahisi navyohisi mitaa,so naishi navyoishi nafaa,
Skia, Yoo!
Chama Rap, Drama kwa wanafki wanaozama,
Mzawa nimesimama bila Chat,
Kwenye haki,Mwanaharakati Nina vina vingi ndo maana nimezama kwenye Rap Hii,
Hata nkiwa Ghetto Nina Run mind,
Mchizi Niko buth Sina Beto Nina Punchline,
Mistari kumi na sita, uvumi unaskika,
Lini mistari ya muhuni itakwisha.
chorus
Sifa ya uhandishi,natunga bila sifa,
nikifa na sifa nzuri ni sifa kwa walionisifu
mistari kumi na sita,uvumi unaskika,
Lini mistari ya muhuni itakwisha,
Tungo zaidi ya sifa,mdundo wa kibabe,
mikunjo ya beast?,Gumzo za kipambe?,
Nachana Kisha naepuka laana,
kichwani na mtindo wa Rap,numeusuka toka zama