Kesho Yetu ft. Songa Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2012
Lyrics
Kesho Yetu ft. Songa - One The Incredible
...
mwenyez nijalie nguvu na roho ya ujasili ili nami niweze amini yenye kesho bora ya utabili kesho iliyo nawili ili kesho uwe n mimi umeshafika usiku mnene na kesho haina dalili mama Mbona ngombe wa MASIKINI hazai Mbona duke akienda offcine avai tai nataka mimi lkn naamin hayafai Mbona Mtt wa jirani asubuh amini chai maisha yangu hayana ubora mwenzangu anaubora GANI HATA nikiwa bora nani kuwa bora nami sina roho ya upinzani n roho na roho yaushindani mwenyez nibarikie kesho bora yenye Amani baba alisema atamwezesha shangaz dada atapata mkopo kaka atapata KAZI nikki atapata soko nikki nitapanda ngazi babu anashamba la mkopo faida ataipata wapi
mzawa wetu fanya usawa uwepo kwetu hatutofika km ubaya ndouwepo wetu hakuna dili n chini ni mwendo peku yesu hajarud na hatujui kesho yetu
haya ni maisha ni safari n hili ni gari bovu hii hali hatari serikali inawovu dereva ni makali ili hali kipofu ILA mwisho ni jeneza ndomahali pawokovu baba sali sana muumba akupe mema acha hali ya kujuana kayumba asome TENAH mzazi mjali mwana Ili kesho ikuche vyema na sali sana ILA sio mwenye dhambi unione mwemba me ndio taifa leo na kesho baba n mama kesho ikiwa MATESO je nikumbuke ya jana usinipe moyo wachuki mzazi usijenge lawama swez sahau sikutupi Linda heshima isiende mlama Ili kesho ya jana isiwe kesho yaleo na uwezo ni matokeo mzazi mjali mkeo sio kimeo kesho itafika vip ili taifa likifa leo
mzawa fanya usawa uwepo kwetu hatutofika kama ubaya ndio uwepo wetu hakuna dili na chini ni mwendo peku yesu bado hajarud n hatujui kesho yetu
WATOTO watapendaje elimu n shule wanakaa chini usafir sio bure hata kama anakaa mjini bado mbali hili swali kwa kijana km mimi unajikinga vipi na sura nzur zimevaa ukimwi unashangaa nini biashara azitembezwi jichunge sana mwanamke imara hajilengeshi na wala hajilegez skuiz ni kitu live madenti hasemwi juu ya mapenz ya chips yai na KWA ma brother men hawawez KAZI vip utagaa utakwenda vip kiwanja mabinti wakuone star ama mkwanja wa dingi n mother kibishi kaza ishi kiume USIJE UKAWA BINTI wa JAMAA maisha bora hatako mbali tatizo hatujui kulenga tumemfanya dhiki rafiki hatujui kumtenga elimu ufunguo wamaandeleo je kesho itafika vip taifa likifa leo.