Mtanganjia ft. Sharpseen Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2012
Lyrics
Mtanganjia ft. Sharpseen - One The Incredible
...
yoo aa
asubuhi nyingine tena
muumba nilinde mpendwa
maisha yameniacha nyikani umasikini uniwinde vema
wema usipite nishike ili niwe mwema
ningependa nishike mali ili ridhiki asiniite tena
upendo wangu ni tajiri mpaka uchoyo unanichukia
chozi hufutwa na ujasiri pindi moyo unapolia
kibogoyo mwenye mfupa siwezi tupa acha nikale
maana jua litakaposhuka njaa itakuja ili tulale kesho itakucha tena ntakumbuka wahenga mi mtengwa niliyefungwa ka duka liliokosa mteja
ningeependa niwe mwema milele hata kama ntasemwa nisije sema na wewe
ni uchungu uzungu umeshika uswahili sio sifa tena
tumeutema chini ya uvungu kuficha fikra za mtengwa
ama walenga wapya malenga mapya wamejenga makamasi yasiyopengwa hata kwa chafya mmfy
siwezi kafa ili nitimize mahitaji nahitaji niende sambamba na maisha ya mhangaikaji
hakiongezeki kitu kwa wingi wa kufikirika
vya kupita vingi ila vya msingi vitanifikisha
aaa
chorus
jua linapiga kichwani mwa utosi
hatua kwa hatua kitaani tunaforce
we all travel wote tunasafiri x2
verse 2
yoo
mama alisema sali sana hii safari ya mbali sana