The Incredible Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2012
Lyrics
The Incredible - One The Incredible
...
Eheem
Uno
Yeah
Duke touches
It's my time
Aah
Yeah
I bet you never saw this comming
Yeah
Its the Incredible baby
The Incredible baby
Ah jyea ah
Duke anasema mi na flow kama Rasta
So hata nikichonga ngoma
Inakua poa kama culture
Snitch akiniboa namtoboa
Na mpa haswa
Namchojoa namkoboa
nampa doa Nampa chata
Mi ndo MC nae kuboa
Na kunyoa unavyo taka
Tungo zinakupa woga
Kama ndoa ya mashaka
Nikikohoa roho inapoa ina takata
Moko kavu niko poa niko haswa
Wanataka kujua napo toa nachowapa
Wanakodoa Machozi
Wanapodoa mpaka swagga
Game nimeioa tena ndoa ya kichaga
Na kunjuka na kunoa na chomoa najikata
Loa takata kata unavyotaka
Usisahau kutoa sadaka kwa
Baba upate Baraka
Maisha yakikaba unakaba
Unakabwa unakua sadaka
Tungo kwa chapter
Umepata nini hapa
Mi ndo
one the incredible
Aiaiiaiaiia twe twende
Tungo zangu kifungo
Na funzo kwa wapumbavu
The In .. it's the incredible baby
One The Incredible
Nguzo zangu za tungo
Ni funzo la tunzo kavu
Matunzo ya zangu tungo
Ni gumzo ndo maana mkali
Yeah
Napo andika naskika
Jitaidi kufanya vipya
Nafika napo hitajika
Naskika naumiza kichwa
Picha ya utunzi wa vita
Ya visa Ina chanika
Na kubadilika kuwa
Mistari nayo iyandika
Mistari yangu inaujumbe
Mistari yangu Ina somo
Njoo mistari nikupe
Ujifunze kutumia mdomo
Ukitaka uchukue uchupe
Ukitaka ni unge mkono
Nacho taka ukumbuke miujiza
Ya uwezo wa somo
Nakurudishia nyuma
Mistari yangu Inasmama
Hip hop Ina buma
Na chuna kisha na bana
Unacheza dili Ina buma
Mi nacheza zina pangana
Unashangaa kisha una nuna
Mi na vuma kama Osama
Tungo zangu kifungo
Na funzo kwa wapumbavu
Nguzo zangu za tungo
Ni funzo la tunzo kavu
Matunzo ya zangu tungo
Ni gumzo ndo maana mkali
Na tungo zangu mafumbo
Midundo inanioa taaf
Twende
One The Incredible
Twende
Tungo zangu kifungo
Na funzo kwa wapumbavu
It's the in..
The Incredible baby
One The Incredible
Nguzo zangu za tungo
Ni funzo la tunzo kavu
Matunzo ya zangu tungo
Ni gumzo ndo maana mkali
Yeah yeah
Na black Teez na white snicker kwa foot
Ni high kicker niko bright
Na light cigar kwa booth
The mic
Yuko tight skiza hype hii Ina truth
Na light shit up little nigga
Nina skill kama poof
Ni hit dropper bwa mdogo
Hii hapa ni noma
Skill profits watafta deals zakubana
Kwenye kona still noma
Skills zina wa grill ka nyama choma
Na hii kiboss na spit
Yanawaacha kwenye koma
Hii sio next level
Hii ni illmatic level
Skill addicts tuna stick
Na deal kali mpaka kesho
Ill habbits zina teach
New kali ka michezo
Na ndo mana ill matics ka mitego
Sishiwi kama mwanga wa jua
Ni sawa na kubisha kua Tanga kuna wanga
Huku wajanja wanajua kua hii kinanda
Mi na panda mpaka stanza inakua
Na hauwezi kuwa juu
Kama maujanja hujajua
So twende
Mi ndo One The incredible
The Incredible
Twende
Tungo zangu kifungo
Na funzo kwa wapumbavu
It's the in..
The Incredible baby
One The Incredible
Nguzo zangu za tungo
Ni funzo la tunzo kavu
Matunzo ya zangu tungo
Ni gumzo ndo maana mkali
The Incredible
Twende
Tungo zangu kifungo
Na funzo kwa wapumbavu
It's the in..
The Incredible baby
One The Incredible
Hi
One The Incredible
Nguzo zangu za tungo
Ni funzo la tunzo kavu
Matunzo ya zangu tungo
Ni gumzo ndo maana mkali
The Incredible
Twende
Tungo zangu kifungo
Na funzo kwa wapumbavu
It's the in..
The Incredible baby
One The Incredible