Umepoteza Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Umepoteza - Linex
...
Yeah
Ulichukua sheria mkononi ona sasa hatupo pamoja
Na ukutaka kusikia wazazi ona kanisa latuona vioja
Inauma sana watoto wanaish pekeyao na mama yao umekua sio mwanamke mwema niliekuona kwenye maandiko
Kwa Yesu halishindikani jambo
Tungepiga goti angerekebisha mambo
M….
Kweli Umepotea
Watoto wanalia wakipiga unakata
Tungemkabidhi bwana ndoa yetu tusingekosa suluhu
Ndoa yetu angeinusuru tungepata jawabu
Natuma salamu ulipo popote tafuta watumishi wakuombee
Urudi kama zamani niwe mume uwe mke nimekusamehe
Kanisa bila Yesu lisingetosha kumalza migogoro tuliyonayo ilikua mizito
Eeeh baba mwenzangu kateleza umsamehe
Kwa Yesu halishindikani jambo
tungepiga goti angerekebisha jambo