kaanami Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
kaanami - Linex
...
kaa nami ni usiku tena
usiniaache kizani bwana
msaada wako haukomi
nilipeke angu kaa nami
siku zetu hazikawi Kwisha
sioni la kunifurahisha
hakuna ambacho hakikomi kisicho na mwisho
kaa nami××××
eeeeeeeeeh
Nina haja nawe kila saa
sina mwingine wa kunifaa
Mimi nitaongozwa na nani
ila ww Bwana kwa nami
siishi neno uwapo karibu
nipatalo lolote sio tabu
kifo na kaburi haviumi na nitashinda Baba kaa nami
kaa nami................
nilalapo nikuone ww
gizani taa nimulikiwe
mmmmh
nuru za mbinguni hazikomi siku zangu zote kaa na Mimi
kaa nami
kaa nami kaa nami kaa nami kaa nami kwa namiiiiiiiiiiii