Olah Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Olah - Linex
...
this girl she is on fire
she is on fire
ashanipendaga akanipa mapenzi bila ya ada
ashanizoeasha kunipa penzi lake bila Karaha
japo yuko higher fire japo yuko higher on fire
japo yuko higher fire japo yuko higher on fire
mtoto maji moto wamotomoto magneto anaziweza Bato bado katoto nakaoa kesho nauaga ubachera natulia geto
mpaka najisahau naona kama naishi dunia nyingine ola ola ola ola
nikupeleke kwa mama sande ola ola ola ola
ukale ugali na Sombe ola ola ola ola
dagaa kidogo migebuka mawese ola ola ola ola
nakugulila wax kitenge
wasio jua maana ya kupendwa wanatalk talktu kitaa
maex wamepata dawa yao wadis distu kitaa ndo kazi yao ola hao
yaani utadhani mapenzi nmieyaanza leo kama simu kata wewe yaani utadhani mapenzi nmieyaanza leo kama simu kata wewe
ashanipendaga akanipa mapenzi bila ya ada
ashanizoeasha kunipa penzi lake bila Karaha
mpaka najisahau naona kama naishi dunia nyingine ola ola ola ola
nikupeleke kwa mama sande ola ola ola ola
ukale ugali na Sombe ola ola ola ola
dagaa kidogo migebuka mawese ola ola ola ola
nakugulila wax kitenge
wamotomoto magneto anaziweza Bato bado katoto nakaoa kesho nauaga ubachera natulia geto ola ola ola ola
nikupeleke kwa mama sande ola ola ola ola
ukale ugali na Sombe ola ola ola ola
dagaa kidogo migebuka mawese ola ola ola ola
nakugulila wax kitenge