Kesho Yangu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Kesho Yangu - Linex
...
Niliangamiaa, kwa kukosa maarifa hofu ya Mungu tena nikaiweka kando sikuogopa hata kufa nyota ya umaarufu ikafifia ikafanana na .....maombi yangu hayajibiwi hata nifunge na kusaliiiiiiiiiiii nikajiona natembea peke angu nigeuze shingooooo kwa muumba wanguuu nilikata tamaaaa nikajiona nipo kwenye msitu na siskii hata sala za watuuu,jitokezee tukuonee tukupee maning'uniko yetuuu
Siiogopi leooo naihofia kesho yangu Mungu wangu uliye juu badilisha maisha yangu nami nitembee nikiringa nikitamba nikiwa na uhakika wa maisha yanguu
Mungu umekuwa msiri wangu miaka nenda rudi hata nikiwa uchi huchoki kunisitiri na mm ni nani unipe thamani ya juuuu uniepushe na maadui zangu na mm ni nani unioneshe upendo wa hali ya juu na unilindee usiku na mchana leo hawazungumzii matunda ya wema unaowatendea wanazungumza jaribu la maisha yangu yanapoyumbaa
Siiogopi leo (siiogopi)naihofia kesho yangu (naihofia kesho yangu) Mungu wangu (Mungu wangu) uliye juu badilisha maisha yangu (badilisha maisha yangu)nami nitembee(nani nitembee) nikiringa nikitamba nikiwa na uhakika (yeyeyeyeye eeh Bwana)wa maisha yangu(×2)
change my liiife(chorus)yeyeyeeee change my life(×2) yeeeh
Mwenyezi Mungu baba uliyejuu mbinguni badilisha maisha yangu,change my life Amen.