![Woman ft. Harmonize](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/18/7bb929ee9830430083d732090f6aa443_464_464.jpg)
Woman ft. Harmonize Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Woman ft. Harmonize - Otile Brown
...
Aisha Aisha Aisha
(otile brown)
Mzuri kama kachorwa body kakupa Mola I'm like my ooh my
macho yake yanavyongaa just like a kingdom light
Lips zake zilivyolowa akizingata
I'm like my ooh my
Ngozi yake inavyometameta kama mshumaa
Hivi we unadhani nakutamani ila
Niko interested zaidi ya vile unavyodhania
can I be your company
nina machache ya kukuambia ooh aah
coz I need you in my life
I'm trynna find me a wife
And you look just that type
You look like just my type
swear this life is for a sight
coz you're such a beautiful woman
woman woman
could be my one and only woman
ooh woman woman Aishaa
para para papare (Aisha)
para para papare (Aisha)
para para papare (Aisha)
pararara pararara (Aisha)
para para papare (Aisha)
para para papare (Aisha)
para para papare (Aisha)
pararara pararara (Aisha)
(Harmonize)
Mzuri kama kachorwa
Kiuno kama dondora
I'm like my ooh my
Na hivo vimacho vyake ka gololi anavyovirembua
Her body shape like a cola
Go spend all my dollar
I'm trynna make you mine
Na hizo pussy zake ka mdoli anavyovishaua
Nishajaribu kupapasa
Dare salaama Nairobi Hadi Mombasa
Sijamwona mpaka sasa
wakufanana huo mshepu sasa (yeah)
Maneno manunguno na chuki
Ati mara kiuno amechongesha uturuki
Kuwajibu hukurupuki
penzi lako ni asali na me ndio nyuki
Kelele zao za chura
hazininyimi tembo kunywa maji
watasema mchana na usiku watalala
umebarikiwa sura
kwenye shindano la warembo
wacha nikupee taji
kwanza bado kijana kifuani hapajalala
You're such a beautiful woman
Woman Woman ..aan
could you be my one and only woman
Woman (mmh) Woman
mwenzako naishaa
para para papare (Aisha)
para para papare (Aisha)
para para papare (Aisha)
pararara pararara (Aisha)
para para papare (Aisha)
para para papare (Aisha)
para para papare (Aisha)
pararara pararara (Aisha)
.......