Loading...

Download
  • Genre:Afropop
  • Year of Release:2016

Lyrics

Alivyonipenda ft. King Kaka - Otile Brown

...

Saa zingine anayekupenda humpendi

Unapenda mwingine anayependa mwingine

Hata usiompendaga (nouhuhu)

Na kila mtu anataka typu yake

Za zingine hata wale wenye hadhi na sisi

tunawakataaga (nouhuhu)

Oo na vile


Chorus


(Alivyonipenda yule alivyonipendaga

Alivyonipenda yule sikujali nikamuaga) X2


Yule aliyenipenda bure, oh nikamwacha kwa jili yake yule

Aliyefwata pesa na zenyewe sikuona maana

Kweli macho yalinihadaa, aki macho yalinihadaa

Alivyo nipenda kwa bidii kazidi kunionya sisikii

Urembo pekee hauridhishi, oh inahitaji zaidi

Typu yangu, ni yule anayejua dhamani ya penzi langu (penzi langu)

Typu yangu, ni yule anayenienzi (anayenienzi)

Ina maana gani, uwe na msichana mrembo dunia mzima

Na hakupendii

Ina maana gani, uwe na mume mwenye hela chungu nzima

Na hakudhamini


Chorus

(Alivyonipenda yule alivyonipendaga

Alivyonipenda yule sikujali nikamuaga) X2


King kaka, alright

Alikuwa wangu Wahu wakati nilikuwa nameless

Nikimwona nasinzia ka nameless

Uko? ntakuja kalesa

Love ilikuwa genuine than leather

True na huyu we started kitambo

Wakati skuma mezani was diambo

Wakati stima kwangu was candle

Wakati birthday yake haikuwa na keki

Wakati nikisota alinipiga jeki

Nikachanganyikiwa na rangi ya thao

Yangu ikafunguka club ya ubakao

Leo Macha kesho Coast tunakacha

Tilizidocument snapchat, niko empty

Nammiss kishenzi, alinipa ya kweli mapenzi

Lonely!

Nammiss alivyonipenda


Alivyonipenda yule alivyonipendaga

Alivyonipenda yule sikujali nikamuaga


Mzugaga nampenda ka mzugaga

Mzugaga nampenda ka mzugaga

Alivyonipenda yule oh yule alivyonipenda

Alivyonipendaga

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status