Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2017

Lyrics

Chai - TMK Wanaume

...

Si ulitaka chai, chai

Iweje ulalamike una ungua?

Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu

Ukipenda sana ngono, itakuua...

Si ulitaka Isshh...haaa!

Iweje ulalamike una ungua?

Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu

Ukipenda sana ngono, itakuua...

Umepata chai, halafu unalalamika ya moto

Wakati mwenyewe...

Umenunua kwa (?)

Unalalamika nini? wakati kila siku ulikuwa una ona matangazo kwenye "screen" ya "tea" kwenye T.V

Chai ina babua' makini usipokuwa

Ati! unakunywa, tukutukutuku...! (bila...!) bila kupooza

Una tegemea nini' kama sio cha kupunguza

(?)

Sana sana sehemu za baridi, tuwe' makini' ikibidi

Najua utataka blanket na shuka' wacha kukurupuka ah

Mapenzi haramu haramu' mwisho wake futi sita shimoni. aight!

Luteni (?)

"Ni Home Boyz Produkshizoo... ndani ya muunganiko na watoto wa Pwani, Majani kutoka T.M.K." Anhaa!

( Check it out )

Si ulitaka chai, chai

Iweje ulalamike una ungua?

Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu

Ukipenda sana ngono, itakuua...

Si ulitaka Isshh...haaa!

Iwеje ulalamike una ungua?

Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerеvu

Ukipenda sana ngono, itakuua...

Ulimwona anafaa, ukamwita kifaa (Enhee!)

Sasa ndugu yangu wewe, ushau pakaa (Ayaa!)

Kwani hukujua kwamba dunia ni hadaa, na ulimwengu ni shujaa?

Oh Mara unalalamika washikaji wana ni nyanyapa (Aaaah!)

Si kama nakusema...sababu washikaji walisha kuambia toka mapema...(Ndio ndio)

Kwamba dunia kaka' haiendi hivyo' ipo siku utajitafutia matatizo (Sanaa...)

Haya sasa, miwaya sasa

Ona unavyokuwa marehemu mtarajiwa sasa (Ayaah!)

Sebastian Ndege unajitahidi sana...wenzio masikio wametia pamba (Kweli)

Wanaona ni hadithi tu wanayopewa na God Mwalusamba

Wanatupa (?) wanakwenda kwenda (?)

Yaani wanavyo fanya

Utasema kondomu hakuna! (Ayaa...)

Si ulitaka chai, chai

Iweje ulalamike una ungua?

Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu

Ukipenda sana ngono, itakuua...

Si ulitaka Isshh...haaa!

Iweje ulalamike una ungua?

Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu

Ukipenda sana ngono, itakuua...

Anaonekana anabisha' wakati vipimo vilisha tuonesha

Na baadhi ya ndugu zao walisha hakikisha

Kila ukimtizama' ana sikitisha

(?) alicho nacho sasa kimekwisha

Miwaya imesha mu (?) wadudu washapenya

Zake ni kupiga chai kavu, ushauri wa madaktari aliona kama upumbavu

Alisha gawa sotojo kwa watoto wadogo na kina baba' watu wazima

(?) inatapakaa mwili mzima...!

Si ulitaka chai, chai

Iweje ulalamike una ungua?

Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu

Ukipenda sana ngono, itakuua...

Si ulitaka Isshh...haaa!

Iweje ulalamike una ungua?

Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu

Ukipenda sana ngono, itakuua...

Ai! ai!

Kweli chai inachoma hii bwana, kweli ina moto, puliza!

(Pff! pff!)

Usi ifakamie vibaya,uje uungue, Yalaaa...!

(Usi ifakamie vibaya, uje uungue, Yalaaa...!)

Usijifanye unafahamu sana, eti kuwa ni tamu tamu tamu tamu mpaka kichogoni

Najua huwezi kuniita mimi' kama huna ulimi

Ukae ukijua ukiwa na ukimwi ni sawa na jini' ndo maana hujificha mwilini

Ushangai kwanini utuue wewe na mimi (Ndio!)

Mgonjwa hakatai dawa, akikataa ashaiandaa kaburi

Pombe haipunguzi mawazo, siku zote huwaga ndo chanzo

Starehe ni mtego wa shetani ameutega duniani (Ndio!)

Rafiki yangu Josefu analalamika eti amelogwa' kulogwa gani, unakonda, mwili unatoka vidonda...hiyo bwana itakuwa ni ngoma

Nshangaza (?) na ndo maana naogopa kufanya

Kulewa lewa nyaka nyaka

Kuchinja (?) ovyo kwenye vichaka

Dunia inachoma moto, inachoma, inachoma, inachoma, inachoma, inachoma, kweli inachoma moto

Wazazi, watoto muwa kanye, na nyie pia msifanye Eeh!

Si ulitaka chai, chai

Iweje ulalamike una ungua?

Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu

Ukipenda sana ngono, itakuua...

Si ulitaka Isshh...haaa!

Iweje ulalamike una ungua?

Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu

Ukipenda sana ngono, itakuua...

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status