Sorry Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Sorry - Marlaw
...
Ayaaaa yaaayaaaaaah
Eiiiiiiiiihiiiiiii
Ayayayaaaaaaaaaa Ayaaaayaaaah
................................................
Ningejua toka mwanzo we ulinipenda mi
Nisingewaza niliowaza juu yako mami
Ningejua ulitayari maisha yako we na mi
Nisingewaza labda wew utaniumiza mi
Nimetoka mbali mimi na mapenzi nimeshalia
Maumivu yangu mimi nikaelekeza kwako pia
Nikapuuza wema wako labda pia we ni muongo
Nikaona ndio wale wale wakunitesa roho
Sorry sanaaaaaaa sorry sanaaaa sorry sanaaaa
We ndio mpenzi wangu X2
Nilishaapa sitoingia tena penzini
Nikajiamin lazma nije niishi peke yangu
Ujio wako kwangu mimi niliona ni utani
Nikaona labda uje unipe mi kampan tu
Umenibadilisha mengi, umenisahaulisha mengi
Sikukudhamini mwanzo, Sa kulipiza kwa upendo
Nilipuuza wema wako, labda piah we ni muongo
Nikaona ndio walewale wa kunitesa roho
Chorus;
Sorry sanaaaaaaa sorry sanaaaa sorry sanaaaa
We ndio mpenzi wangu X2
I saaay i love you and i need you
I love you, love you
Nishikeeee, Mapenzi ni mimi na ww
Mimi sasa ninajua, thaman ya mapenzi Kwako ww ninaijua
umenitoa kwenye giza, umenieka kwenye mwanga
Na sasa my baby I love you soooooo much
Eeeeeeeeeeh iiiiiiiiiih eeeeeeeeeeiiiiih
Oooooooh wewe, wewe my babyyyy
Mamiiiiiiiiiiiiiiiiii eeeeeeeeh
Sorry sanaaaaaaa!