Uniongoze Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2017
Lyrics
Uniongoze - Ephraim Sekeleti
...
uniongoze na huruma zako
usiponibariki siwezi kwenda
ninajua bila nguvu zako siwezi kwenda×2
kwa mkono wako umenibariki×2
baraka zako,baraka zako ziwe na Mimi
na macho yako yawe na Mimi
mapenzi yakooo
mapenzi yakooo yawe yawe na mimi×2
oooh kwa mkono wako
kwa mkono wako kweli umenibariki×2
ulinichagua kabla sijazaliwa
ukanichaguaa nabii wa mataifa yooo
utanitangulia sitaogopa chochote×2
kwa mkono wako kweli umenibariki iiih×2
baraka zakooo,baraka zako ziwe na mimi
na macho yako yaweee,na macho yako yaweee na Mimi
oooh mapenzi yako,mapenzi yako yawe na Mimi
oooh mapenzi yako, mapenzi yako yaweee na Mimi
oooh kwa mkono wako oooh
kwa mkono wako kweli umenibariki iiih
bariki bariki barikiii
kwa mkono wako kweli umenibariki iiiih
tembea nami eeeh bwana
tembea nami baba yooo ×2
ooh kwa mkono wako kweli umenibariki ×2
baraka zako ziwe na mimi
ooh na macho yako,na macho yako yaweee na Mimi
ooh mapenzi yako, mapenzi yako yawe na Mimi
bwana mapenzi yako, mapenzi yako yaweee na Mimi
ooh kwa mkono wako,kwa mkono wako kweli umenibariki
umenibariki
kwa mkono wako kweli umenibariki iiih
baraka zako ziwe na mimi,ziweeeeh
na macho yako yaweee,yaweee na Mimi
oooh mapenzi yako yaweee,yaweee na Mimi
nakataa nakataa na dunia yoooh
mapenzi yako yaweee na Mimi
oooh
kwa mkono wako kweli umenibariki iiiih