Ndani Ya Jina Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2017
Lyrics
Ndani Ya Jina - Ephraim Sekeleti
...
Ndani ya jina na damu yako iko nguvu Bwana × 2
iponyayo
Na nguvu zako ziko dunia yote, walemavu hutembea,
Na nguvu zako ziko dunia yote, Na magonjwa yanapona,pale msalaban uliposulubiwa ulibeba magonjwa yote,,
Ndani ya jina na damu yako iko nguvu Bwana
Ndani ya jina na damu yako iko nguvu Bwana,iponyayo
Ponya Baba watoto wako Bwana mkono wako Baba sio mfupi Hapana,,Tumekandamizwa vya kutosha mambo shetan anatuibia uponyaji wetu
Ndani ya jina na damu yako iko Nguvu Bwana,
Ndani ya jina na damu yako iiko guvu Bwana,iponyayo
Lina Nguvu jina lako Bwana × 3
lina Nguvu jina lako × 7
ponya Baba
watoto wako Bwana
llina nguvu jina lako × 5
Ndani yaa jina na damu yako iko Nguvu Bwana
Ndani ya jina na damu yako iko Nguvu Bwana,iponyayo