Honey wangu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Honey wangu - Seneta Kilaka
...
Baby wangu anajivunia kuwa na mimi nyie hamjuii iiiih iiihh
Hunie wangu anajivunia kua na mimi nyie hamjui wowoooo✖️2
Anasema bila ya mimi nusu ya furaha itapotea moyoni mwake✖️2
Sifa zingine mpak siamini iih kama mimi eti hajawahi ona ✖️2 awekewe pesa na mimi kanichagua mimi eti ndio anavosema ✖️2
Nahitaji ulinzi wa kutosha