Mchepuko Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2023
Lyrics
Mchepuko - Seneta Kilaka
...
beat na DJ kikotii kwenye mapenz, mi nataka nafas mojaa hizo zingine hazina maana kwenye mapenziiiiih,, nataka nafasi moja hizo zingine tutagombanaa wanangu mi bora niwe mchepuko,niwe sina stress X4