Chawa Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2022
Lyrics
Ukiskia chochote kunihusu mimi mpenzi wangu usimwambie atakuona chawa
Ukiskia chochote kunihusu mimi mpenzi wangu usimwambie atakuona chawa
Sababu mi ndo tamu yake mimiooh sababu mi ndo sweet wake mimiooh
Sababu mi ndo tamu yake mimiooh sababu mi ndo sweet wake mimiooh
We wameshindwa watu wenye uwezo
Sasa itakua wewekikalagosi
Yani wameshindwa watu wenye uwezo kutugombanisha
Itakua wewe kikalagosi.
Sisi kwetu penzi paja we limenona yani mchuzi kijikooooh.
Alafu lipo imara wakututenganisha labda mungu KWA kifo oooh
Alafu lipo imara wakututenganisha labda mungu KWA kifo oooh
Ukisikia chochote kunihusu mimi mpenzi wangu usimwambie atakuona chawa.
Ukisikia chochote kunihusu mimi oooh honey wangu usimwambie atakuona chawa
Sababu mi ndo tamu yake mimiooh sababu mi ndo sweet wake mimiooh
Aaaah nikiwa mbali nae hunitafuta muda woote,
Yani kwa hili penzi letu mnafki tia neno usutwe
Kwa kutugombanisha sio kweeli
Oooh amin kwetu utafeeeli
Na usijipe mapresha iyeee eeeh
Kwa hili penzi letu sieeeeh
Ah usijipe mapresha iyeeeh yani kwa hili penzi letu sieeeeh eeeh eeeh
We yani atakuona chawa atakuona chawa nasema atakuona chawa atakuona chawa
We yule dada akishalewa tiki yake mbon inabana
Trisha Omani akishalewa tiki yake mbon inabana
Madame kidoti akishalewa tiki yake mbon inabana
Nanah Mapozi akishalewa tiki yake mbon inabana
Hasidi hasidi mtu mbaya aaaah ndo mana anakonda kiloho mbaya aah
We nitikisie Moja Moja Moja Moja dada weee
Bado tena mimi sijaona