Ninae Share Nae Lyrics
- Genre:Traditional
- Year of Release:2021
Lyrics
Ninae Share Nae - Seneta Kilaka
...
jama tatizo siyo kushare ooh jaman siyo kushare huyo ninae share nae mwenyewe hajanizid kwanz ninae share nae tatzo hakuna alichonizid huyo ninae share naee mwenyewe hajanizid kwanz ninae share nae tatzo hakuna alichonizid naxema ataisoma namba ah mi mwenyewe nmejipang ata aende kwa manga na mi mwenyewe nmejipanga kwanz napendwa Mimi tena najiamin mwenzake napendwa Mimi tena najiamini mama tatzo siyo kushare ooh jaman siyo kushare huyo ninae share nae mwenyewe hajanizid kwanz ninae share nae tatzo hakuna alichonizid huyo ninae share nae mwenyewe hajanizid mm kwanza ninae share nae mwenyewe hajanizid ukiwaona waitee oooh. waje x2