Safari ft. King Kiki Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2020
Lyrics
Safari ft. King Kiki - Ay Masta
...
YEEEEA SAFARI YA KWAKO DUNIA HII
SAFARI.....safari ya kufikia uzee lazima uiyanze utotoni
Na siku zote hauwait future iko kwa wazazi mikononi kama safari ya kawaida milima na mabonde ni lazma utaikuta inapaswa kuivukaimeweka kwa ajili ya kukupima kama utasita Elimu ikakungoja ukasoma kwa bidii uku ukijigongoja mambo ya dunia yakakudrop down ukainuka ukajifuta bado mbele uka songa(SAFARI) Wachache wakakuhusia watu wengi sana wakakubaribia hii ndo dunia broo hii ndo dunia sister kumbuka unaishi kwenye wanja wa vita( SAFARI)
chorus By king Kiki
SAFARI(safari)
SAFARI (Ya binadamu)
SAFARI (YAa walimwengu)
SAFARI (Bado twatembea)
SAFARI (Bado twatafuta eeeh)
SAFARI (Safari)
YOUWOOOO!!!!
Ukakutana na mapenzi ukawapa MOYO watu wengi wakuenzi wakakufanyia ushenzi uka ona kama kila mtu akupendi(SAFARI )Wenzako hawaendi unako kwenda na hawafurahi ukishinda kuwa makini kwani you never know mpenzi wa leo ndo adui wa siku zijazo
changamoto ukakutqna nazo ukatambua kuwa game ya mapenzi ni kama puzzle ila uvumilivu ndiyo ngao walio kwenye ndoa nawapa salamu zao (ZAO)
Chorus By King KiKi
Miaka ina kwenda siku zina pita unavuna alicho panda wengine wamesanda wengine kwa majumba wengine vibanda
wengine wanaishia kibao wabaya wanafika mbali na kuleta mabaraaa kila mtu na safari jamaa na hatuwezi fanana so usikate tamaa umejiandaje na kifo unakumbuka tubu zambi zako kwa mora wako isije kula kwako ukataman igeuke nyuma hii safari yako ulizaliwa peke yako naam kumbuka utarudishwa ukiwa peke yako basi tubu dhambi zako ufunge chapter ujaribu kumkumbusha na mwenzako
KING KIKI VERSE
Safari maisha ni safari ndefu(SAFARI)
SAFARI twaimba leo maisha ni safari ndefu
Chorus King KiKi