Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2019

Lyrics

I Dont Want To Be Alone ft. Sauti Sol - AY (Tanzania)

...

I don't wanna be so lone

I don't wanna walk alone

I don't wanna stand alone

I don't wanna be alone, in the world!


Wanadamu huwa wepesi kudharau

Misukosuko ikipungua basi na Mungu ndo wanamsahau

Wengine amani inatoweka, hawakumbuki walikotoka(Success) wazipatazo wao wanaona ka wameokota


Siku bado zinapita na mengi yanabadilika Umri unaongezeka, mambo mengi umeshapitia Ila, nakuona mnyonge na umekata tamaa Basi piga moyo konde na uzidi komaa (komaa) Safari uliyokuwa nayo hapa duniani Safiri kwa imani, kwani ujue siku hazifanani Kwani naamini hakuna anaejua mbele, sidhani Zaidi ya Maanani, ambaye ndio nguzo hapa duniani Shukuru kwa kila jambo, liwe baya au jema Ndo mapenzi yake tu, so niamini nachosema


Muache aitawale, aiongoze roho yako


Ujifungue kwenye pingu za maovu, uwe peke yako I don't wanna be so lone I don't wanna walk alone I don't wanna stand alone I don't wanna be alone, in the world! I don't wanna be so lone I don't wanna walk alone I don't wanna stand alone I don't wanna be alone, in the world! Magari, yakifahari Nyumba za ghorofa, shilingi na dollar Unatawala, umesoma sana Mambo haya ya dunia, tafadhali sikiliza Maisha ni moja, kifo ni siku moja Shida ni kuingoja, piga magoti wewe omba I don't wanna be so lone I don't wanna walk alone I don't wanna stand alone I don't wanna be alone, in the world! I don't wanna be so lone I don't wanna walk alone I don't wanna stand alone I don't wanna be alone, in the world! Kitu bora kuhusu kesho, ni uwe bora zaid ya leo Maisha matokeo, na Mungu ndo letu kimbilio Aliyekuvusha kwa milima, atakuvusha kwa mabonde Basi usitazame nyumba, zidi songa mbele twende Pumzi kakupa nani? Shukuru, utapungua nini!? Vyote kakupa yeye, na bado humthamini Vito, pesa na mali zenye thamani Zisikufanye udiriki ukapungukiwa na imani Kumsahau, kumdharau, kutomwamini aleyekupa Kujiona juu, umepanda dau, na kujikuta umeanguka Basi muombe akusamehe, maisha yako akuendeshee Mabaya yote akuepushe, uishi raha mustarehe Sema 'asante Mungu' kwa kila siku unayoanza Na pia 'asante Mungu' kwa kila siku unayoenda Mungu wa watu weupe, ndio Mungu wa watu weusi Usimkumbuke tu wakati wa matatizo, change upesi! I don't wanna be so lone I don't wanna walk alone I don't wanna stand alone I don't wanna be alone, in the world! I don't wanna be so lone I don't wanna walk alone I don't wanna stand alone I don't wanna be alone, in the world! Sio kila siku tunaongelea mapenzi Sio kila siku tunaongelea anasa na mambo ya kidunia Sometimes. Tukumbushane kumuomba yule aliyetuwezesha kuwa hapa duniani Yule aliyetuwezesha kuusikia na kuuona wimbo huu Mungu ni mmoja, amini hivyo Ndio kimbilio la mwisho na nguzo yako hapa Na baada ya kutoka hapa duniani Mungu wa matajiri ndio Mungu huyo huyo wa masikini Kwahiyo, kila mmoja ana azima yake kwake Basi tusimsahau, tuwe karibu yake Na tumshukuru kwa kila jambo Kila mmoja ana azima yake kwake Basi tusimsahau

More Lyrics from Ay Masta Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status