Nampenda Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Nampenda - Belle 9
...
Belle 9-Nampenda
Cmg
Lyrics by Rotta
oooh baby oooh baby shabaa
ndege mjanja nimenasa mtegoni(nimenasa)
tattoo yako nimechora moyoni (uuuh huh)
midomo yako ikinigusa shavuni
yeah
jiachie mama deka deka deka aaaah
wanavyokesha na mafilters
level zako hawajafika mtoto
wanakopenda tushapita
hawanajipya mtoto
wanapigia mbuzi guitar
I said I don't care
lyric
nampenda
ajawahi nichosha amenitosha
me nampenda
ajawahi nichosha amenitosha
me nampenda
ajawahi nichosha amenitosha
me nampenda
ye sio fedhuri
ameninasa utuli mzuri
kama kivuri jua silijui uwiii
ua zuri linameremeta
lisojua kunifedhehesha oooh baby
asubuh baby face Una ng'aa
(babe face una ng'aa)
hii thaman
sipati kwingine tena
umejua kunitreat kistar
natamani
.nikutongoze tena
umejua kuniweza haswa
jikoni chumban kitandani bafuni
nimekupa taji
jikoni chumbani kitandani bafuni
she call me dady
bridge
ye sio fedhuri
ameninasa uturi mzuri
kama kivuri jua silijui uwii
chorus.
nampenda
ajawah nichosha amenitosha
me nampenda
ajawah nichosha amenitosha
me nampenda
ajawahi nichosha amenitosha
me nampenda
uuuuuh huuuuuuuuh
wanapopenda tushapita
hawana jipya mtoto
wanapigia mbuzi guitar aaa
I said I don't care