Watu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Watu - Belle 9
...
Mmmmh
Yaliponidodea nkaenda kwa amina
Ilipokolea nkazama mazima
Waliyo yafanya yawe hapa ( watu)
Wakaamua yavunjike (watu)
Watu
Watu
Watu
Watu
Watu
Watu
Watu
Watu penzi likiwa tunza wanaleta blender
Penzi letu matunda wameleta blender
Kutwa kucha vikao
Maneno pili pili
Hamsini ni zao
Sisi tushike mbili
Oooho ohhho
Mama shika bomba
Mmmh
Kuna kona kona
Ooooho ooooh
Mama shika bomba
Mmmmh
Kuna kona kona
Watu
Watu
Watu
Watu
Watu
Watu
Watu
Umepiga simu kibao yeye hajashika
Blue tick mbili zimeitika
Bize cone wanamlambisha
Namba yako imesubirishwa
Mwenzio kapotea kitambo unang’ang’ana wewe
Hata message za bundle unahisi ni yeye
Baba ita press ukalilie watu
Kutwa kucha vikao
Maneno pili pili
Hamsini ni zao
Sisi tushike mbili
Oooho ohhho
Mama shika bomba
Mmmh
Kuna kona kona
Ooooho ooooh
Mama shika bomba
Mmmmh
Kuna kona kona
Watu
Watu
Watu
Watu
Watu
Watu
Watu
Ooooho
Watu wabaya
Mmmmmh
Hawana jemaa aaanh
Ooooho
Wachonganishiiii
Mmmmh
Hawana jemaaa
Watu wabayaaa aaaaaaaaaah
Hawana jemaaa
Watu
Watu
Watu
Watu
Watu
Watu
Watu
Watu