Weka Weka Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Weka Weka - Belle 9
...
Nimekuweka
weka weka *2
Na mm niweke weke
Weke weke *2
Nimekuweka
Weka weka *2
Na mimi niweke weke
Nideke deke
Instruments
Heyyy heyy
Madaktari wameshindwa
Mainjinia wameshindwa
Watabibu wameshindwa
Mapadrii na masharti yao
Walishakutwa na wapenz wao
Huuuu!!!
Niteke niteke
Nideke niweke
Nixahau upweke
Nipate japo nami angalau
Mapenz yalileta mazarau
I love you *2
Dokta puliza kidonda
Mapenz yalinipa majeraha
Nikakosa wakunipa raha
Bby iiihh!
Unajua nimekuweka weka weka
Weka weka *2(ndani ya moyo)
Nami niweke weke
Nimekuweka Weka Nideke deke (ndan ya moyo)
In love in love ehh!!