Inuka Mteule (Reprise) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Inuka Mteule (Reprise) - Florence Mureithi
...
nieleze je mteule ulivyo na nguvu umepewa uwezo kwa roho wa mungu,usife moyo mteule ufalme ni wako umridhi pamoja na yesu.
Nieleze je mteule ulivyo na nguvu umepewa uwezo kwa roho wa mungu,usife moyo mteule ufalme ni wako umridhi pamoja na yesu...
inuuka jitie nguvu,simama u mshindi
tawala una kibali msaidizi wako ? ndani yako.
msaidizi wako ? ndani yako.
nikueleze je hakuachi bwana
hadi mwisho wa dahari
fungua macho mteule uone mbali
giza latoweka kwapambazuka
nieleze je mteule ulivyo na nguvu
umepewa uwezo kwa roho wa mungu
usife moyo mteule mteule ufalme ni wako umridhi pamoja na yesu
inuuka jitie nguvu,simama u mshindi
tawala una kibali msaidizi wako ? ndani yako
inuuka jitie nguvu simama umshindi
tawala una kibali msaidizi wako ? ndani yako
nieleze je mteule ulivyo na nguvu umepewa uwezo kwa roho wa mungu usife moyo mteule ufalme ni wako umridhi pamoja na yesu.