Nje Y Lango Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Nje Y Lango - Florence Mureithi
...
Login The Network
Search for lyrics...
In Lyrics
By Artist
by Album
Lyrics.com
NJE YA LANGO
Listen online
FLORENCE MUREITHI
1 fan
FLORENCE MUREITHI
1.
Nitamfuata nje ya lango,
Nikifurahia aibu ya msalaba.
Aliyoibeba Mwanakondoo,
Nitamfuata nje ya lango la mji.
2
Nitamfuata nje ya lango,
Aliyefanyika dhabihu kwa msalaba.
Alipoangikwa Mwanakondoo,
Nitamfuata nje lango la mji.
Bridge.
Ameingia, mahali patakatifu,
Kwa Damu Yake, tuna ukamilifu.
Ameingia, mahali patakatifu,
Kwa Damu Yake, tuna ukamilifu.
_Interlude_
1.
Nitamfuata nje ya lango,
Nikifurahia aibu ya msalaba.
Aliyoibeba Mwanakondoo,
Nitamfuata nje ya lango la mji.
2.
Nitamfuata nje ya lango,
Aliyefanyika dhabihu kwa msalaba.
Alipoangikwa Mwanakondoo,
Nitamfuata nje lango la mji.
Bridge.
Ameingia, mahali patakatifu,
Kwa Damu Yake, tuna ukamilifu.
Ameingia, mahali patakatifu,
Kwa Damu Yake, tuna ukamilifu.
Ameyachukua,
Masikitiko yetu.
Amejitwika,
Huzuni zetu.
Kajeruhiwa,
Kwa makosa yetu.
Alichupuliwa,
Kwa maovu yetu.
Ameyachukua,
Masikitiko yetu.
Amejitwika,
Huzuni zetu.
Kajeruhiwa,
Kwa makosa yetu.
Alichupuliwa,
Kwa maovu yetu.
Ameyachukua,
Masikitiko yetu.
Amejitwika,
Huzuni zetu.
Kajeruhiwa,
Kwa makosa yetu.
Alichupuliwa,
Kwa maovu yetu.
_Interlude_
Ameingia, mahali patakatifu,
Kwa Damu Yake, tuna ukamilifu.
Ameingia, mahali patakatifu,
Kwa Damu Yake, tuna ukamilifu.