KIjito Cha Utakaso Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
kijito Cha utakaso ni damu ya yesu,bwana anao uwezo kulipa wokovu,kijito Cha utakaso, lizame kuoshwa humo,namsifu bwana kwa hiyo nimeepata utakaso ,( kijitooo),,kijito Cha utakaso nizame kuoshwa humo namsifu bwana kwa hiyo nimepata utakaso
viumbe vipya nao na damu Ina nguvu,imeharibu uovu uliodhuluhuu..
kijito Cha utakaso lizame kuoshwa humo, namsifu bwana kwa hiyo nimepata utakasoo