Kweli wewe ni Mungu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Kweli wewe ni Mungu - Florence Mureithi
...
Vizazi hadi vizazi, vya kufahamu Wewe
Uliye Mungu wa kale na uliye Mungu wa leo
Kazi zako zaonyesha, Ukuu Wako Wewe
Umetukuka, Umeinuliwa, Ewe Bwana
Vizazi hadi vizazi, vya kufahamu Wewe
Uliye Mungu wa kale na uliye Mungu wa leo
Kazi zako zaonyesha, Ukuu Wako Wewe
Umetukuka, Umeinuiliwa, Ewe Bwana aaah
Kweli Wewe, Wewe ni Mungu
Kweli Wewe, Wastahili
Umeketi juu sana, kwenye kiti cha enzi
Umejivika Utukufu, Wewe ni Mungu
Nikitazama matendo yako na nguvu zako Wewe
Yadhihirika machoni mwangu, wengine wote ni miungu
Uumbaji Wako waonyesha, hekima yako Wewe
Watukuzwa kati ya mataifa milele Bwana
Nikitazama matendo yako na nguvu zako Wewe
Yadhihirika machoni mwangu, wengine wote ni miungu
Uumbaji Wako, waonyesha, hekima yako Wewe
Watukuzwa kati ya mataifa, milele Bwana
Kweli Wewe, Wewe ni Mungu
Kweli Wewe, wastahili
Umeketi juu sana kwenye kiti cha enzi
Umejivika utukufu, wewe ni Mungu
Sifa zako zi kinywani mwangu
Kwa jinsi ulivyo Wewe
Kwa kusanyiko la watu wako, nikuinue Mungu wangu
Nionyeshe heshima Zako, malangoni mwako Wewe
Nakutukuza nakuinua ewe Bwana
Sifa zako zi kinywani mwangu
Kwa jinsi ulivyo Wewe
Kwa kusanyiko la watu wako, nikuinue Mungu wangu
Nionyeshe heshima Zako malangoni mwako Wewe
Nakutukuza nakuinua ewe Bwana
Kweli Wewe, Wewe ni Mungu
Kweli Wewe, wastahili
Umeketi juu sana, kwenye kiti cha enzi
Umejivika utukufu, Wewe ni Mungu
Kweli Wewe, Wewe ni Mungu
Kweli Wewe, wastahili
Umeketi juu sana, kwenye kiti cha enzi
Umejivika utukufu, Wewe ni Mungu
Kweli Wewe, Wewe ni Mungu
Kweli Wewe, wastahili
Umeketi juu sana, kwenye kiti cha enzi
Umejivika utukufu, Wewe ni Mungu